Habari za Punde

Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukifanyika katika Majengo ya Baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukifanyika katika Majengo ya Baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Waheshimiwa Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakati akiahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi.
 Baadhi ya Wananchi walifika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kushuhudia uahirishwaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi uliofanywa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif.
 Haiba ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliopo Chukwani unavyoonekana kwa juu ukiwa katika hali ya kupendeza Wajumbe wakiendelea na Vikao vyao vya kawaida.
Wananchi wa Jimbo la Paje wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mh. Jaku Hashim Ayoub nje ya Jengo la Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa kwa Mkutano wa Baraza hilo.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.