Habari za Punde

Hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei

 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.
 Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Abdul-rahman Msham katikati akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei  ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.kulia ni Afisa Mwandamizi Mkuu Benki kuu Tawi la Zanzibar Malik Ali Suleiman na kushoto ni Afisa Uchumi na Biashara (Zura)Omar Ali Yussuf 
 Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA)Dkt.Suleiman Simai Msaraka akitolea ufafanuzi maswala mbalimbali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.
Meneja Uchumi Benki kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/ MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.