Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Masauni na IGP Sirro Ziarani Mkoani Shinyanga Kikazi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack (katikati), baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Masauni amewasili mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana  na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack  baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.