Habari za Punde

Bonanza la kuadhimisha miaka minane ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar

 KIKUNDI cha Sarakasi kutoka Mkoani kikionyesha umahiri wao wa kucheza sarakasi mbali mbali, wakati wabonanza la kuadhimisha miaka nane ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar na kufanyika Kisiwani Pemba(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 KIKUNDI cha Sarakasi kutoka Mkoani kikonyesha umahiri wao wakucheza sarakasi mbali mbali, wakati wa bonanza la kuadhimisha miaka nane ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar na kufanyika Kisiwani Pemba(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar wakiwasili katika uwanja wa michezo Gombani kwa matembezi , ikiwa ni ufunguzi wa bonanza la michezo kuadhimisha miaka nane ya mamlaka hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MWENYEKITI Mstaafu wa bodi ya mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Abdullghan Msoma (Katikati), akiwasili katika uwanja wamichezo Gombani kwa matembezi ya miguu yalioanzia Machomanne hadi Gombani, wakati waufunguzi wa boanza la michezo kuadhimisha miaka nane ya mamlaka hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MWENYEKITI Mstaafu wa bodi ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Abdullghan Msoma, akizungumza na wanamichezo mbali mbali katika uwanja wamichezo Gombani, wakati wa ufunguzi wa bonanza la michezo kuadhimisha miaka nane ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar wakiibika mshindi wakwanza katika mchezo wa Uvutaji wa Kamba kwa wanawake, baada ya kuwavuta mara mbili wanawake wenzao kutoka Wizara ya Fedha Pemba, wakati wa bonza la Miaka nane ya Malaka hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.