Habari za Punde

PBZ yakabidhi msaada wa vifaa vyenye thamani ya Mil 85 kwa Hospitali za Unguja

 NAIBU Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Khadija Shamte (wa pili kulia) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Halima Maulid Salum msaada wa mashine ya kuangalia vichochozi vya mwili (hormone) kwa watoto, makabidhiano hayo yalifanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja mjini Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN
 NAIBU Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Khadija Shamte (wa tatu kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Halima Maulid Salum msaada wa mashine ya kuangalia vichochozi vya mwili (hormone) kwa watoto, makabidhiano hayo yalifanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja mjini Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Halima Maulid Salum akizungumza katika hafla ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 85 vilivyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa Hospitali za Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
 NAIBU Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Khadija Shamte(wa pili kulia) akizungumza katika hafla ya kutoa utoaji msaada wa vifaa mbalimbali kwa Hospitali za Unguja, vifaa hivyo vina thamani ya shilingi milioni 85.(PICHA NA HAROUB HUSEIN).

NAIBU Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Khadija Shamte (watatu kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Halima Maulid Salum  msaada wa vitanda na mashuka kwa ajili ya Hospitali mbalimbali za Unguja , makabidhiano hayo yalifanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja mjini Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.