Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini Mhe Eng. Masauni Atembelea Shule ya Polisi Mkoani Kilimanjaro

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiandika maelezo yanayotolewa na Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar (kulia), wakati alipotembelea Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki  kufuatilia masuala mbalimbali  katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini. Kushoto ni Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Tunu Ng’ondya.
Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar, akisoma taarifa ya maendeleo ya mafunzo mbalimbali yanayoendelea katika Shule ya Polisi Moshi Tanzania kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati naibu waziri alipotembelea shule hiyo, mwishoni mwa wiki  kufuatilia masuala mbalimbali  katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Salum Hamduni akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia) na Uongozi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania, mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara yenye lengo la kufuatilia masuala mbalimbali  katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Salum Hamduni akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia) na Uongozi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki  ikiwa ni ziara yenye lengo la kufuatilia masuala mbalimbali  katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar (kulia) na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Tunu Ng’ondya wakati alipotembelea Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.