Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Awasilisha Mapendekezo ya Bajeti ya Serikali Makadirio ya Mapato na Matumizi Kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 Leo.B

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akionesha Mkoba wa Makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wac Fedha 2020/2021, akishindikizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi akielekea katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza kwa ajili ya kuwasilisha leo 15-6-2020.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akiingia katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar akionesha Mkoba wa Makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wac Fedha 2020/2021, akishindikizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi akielekea katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza kwa ajili ya kuwasilisha leo 15-6-2020.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisoma Makadirio ya Bajeti ya Serikali ya Matumizi na Mapato kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisoma Makadirio ya Bajeti ya Serikali ya Matumizi na Mapato kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.