Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora leo Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora    katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Iddi.[Picha na Ikulu]17/08/2020.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Maalim Haroun Ali Suleiman (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji   mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020/2021katika kakao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee[Picha na Ikulu.] 17/08/2020.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd,Yakout  Hassan Yakout (katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Shaaban Seif.[Picha na Ikulu] 17/08/2020.
Baadhi  ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  wakiwa   katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ikulu]17/08/2020.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora    katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ikulu]17/08/2020.
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  wakiwa   katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ikulu]17/08/2020.

Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akichangia katika katika kikao utekelezaji wa  mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  kilichofanyika leo patika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Abeid Daftari .[Picha na Ikulu.] 17/08/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.