Habari za Punde

Rais Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na ujumbe wa Dawoodi Bohra Jamaat Tanzania Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa  Dar es Salaam Sheikh.Tayabali Hamza Bhai Patanwalla, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo  na kumpongeza,hafla hiyo imefanyika leo 23/11/2020 na kulia Ndg.Murtaza Ali Bhai (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Dalaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla wakimsikiliza
Ndg.Murtaza Ali Bhai akiwasilisha taarifa ya kumpongeza wakati walipofika IKulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Zanzibar 23/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa hati ya kumpongeza na Viongozi wa Bohra Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nakumpongeza  (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat  Dar es Salaam Sheikh. Tayabali Hamza Bhai Patanwalla akiwa na Mwakilishi wa Dawoodi Bohra Jamaat Zanzibar Sheikh.Muffadal Imadi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.23/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat  Dar es Salaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla (kulia kwa Rais) na Ndg.Murtza Ali Bhai na Ndg. Nuruddin Bhai Katibu wa  umuiya hiyo Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 23/11/2020..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi BohraJamaat, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 23/11/2020 kwa mazungumzo na kumpongeza,(kushoto kwa Rais) Ndg. Javed Jafferji ,Sheikh.Habibulla N.Jivajee na Sheikh. Muffadal Imad..(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.