Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Uzini akabidhi msaada wa chakula kwa Wachungaji wa makanisa jimboni kwakeDiwani wa wadi ya Bambi Said Kheri Mtumwa akizungumza na Wachungaji wa makanisa yote yaliopo katika Jimbo la Uzini huko Kidimni Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika hafla ya kukabidhi msaada wa chakula kwa Wachungaji ili wapewe waumini wa Dini ya Kikristo wasiojiweza kwa ajili ya Skukuu ya Krismass kwenye Kanisa la Pentacost liliopo Kidimni.
Mbunge wa Jimbo la Uzini ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Khamis Hamza Khamis.(Chilo)akizungumza na Wachungaji wa makanisa yote yaliomo katika  Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika hafla ya kukabidhi msaada wa chakula kwa Wachungaji ili wapewe waumini wa Dini ya Kikristo wasiojiweza kwa ajili ya Skukuu ya Krismass kwenye Kanisa la Pentacoste liliopo Kidimni.
 Mbunge wa Jimbo la Uzini ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Khamis Hamza Khamis.(Chilo)akikabidhi msaada  wa chakula kwa Wachungaji wa makanisa yote yaliomo Jimbo la Uzini ili wapewe waumini wa Dini ya Kikristo wasiojiweza kwa ajili ya skukuu ya Krismas kwenye Kanisa la Pentacost liliopo Kidimni.

 Mbunge wa Jimbo la Uzini ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Khamis Hamza Khamis (Chilo) akizungukwa na Wachungaji walipokuwa wakimuombea dua baada ya kukabidhi msaada wa chakula  huko Kidimni ili MwenyezI Mungu amsimamie katika majukumu yake aliyopangiwa. 

(picha na Bahati Habibu Maelezo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.