RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi
na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soroga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama
vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Ndg. Ali Mwalimu, alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho
ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yalioadhimishwa Kitaifa katika Mkoa wa Mjini
Magharibiu Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga
MKURUGENZI wa Jumuiya ya ZANEMA Ndg. Salah Salim
Salah akitowa salamu za Wafanyakazi wa Zanzibar katika hafla ya maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliofanyika katika ukumbi Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Bi. Mwatum akisoma Salamu za Wafanyakazi wa
Zanzibar wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi
iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na
Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga
akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei
Mosi yalioadhimishwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Ndg. Ali Mwalimu akizungumza wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
kuzungumza na Wafanyakazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora kutoka Benki
ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Pemba Ndg. Ali Thani Awesu, wakati wa hafla
ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi Bora
kutoka Shirika la Bandari Zanzibar Ndg Masoud Haji Juma, wakati wa hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi
wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimishi ya
Siku ya Wafanyakazini Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimishi ya
Siku ya Wafanyakazini Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Binafsi
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa
Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei
Mosi, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika maadhimisho hayo
yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar
BAADHI ya Wafanyakazi Bora kutoka Taasisi
mbalimbali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia
katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi Zanzibar wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupom pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment