Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais Alhaj Othman Masoud Othman Amewataka Waumini Kudumisha Amani Nchini.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.Alhaj Othman Masoud Othman, akijumuka na Waumini wa Dini ya Kiislam katika hafla ya kufunga Darsa ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani iliokuwa ikifanyika katika Masjid Gofu Mkunazini Jijini Zanzibar.Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.  
Makamu wa Kwanza wa Raisa wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman akitowa nasaha zake kwa waumini wa Dini ya Kiislam katika hafla ya kufunga Darsa katika Masjid Gofi Mkunazini Jijini Zanzibar. 

Alhaj Othman amewaomba kuzidi kuwaombea dua viongozi ili waongoze raia wao kwa amani na uadilifu, sambamba na kuwataka watambue kwamba viongozi nao ni binaadamu kama wao, hivyo wasisite kuwaelekeza pale wanapoona wanakwenda kinyume na utaratibu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.