MHAMASISHAJI jamii Siti Habibu Mohamed, akiwasilisha
mada kwa wananchi wa Shehia ya Muwambe, juu ya kuwajengea uwezo wanawake kudai
haki zao za uongozi katika ngazi zote za mamuzi, mkutano ulioandaliwa na
Jumuiya ya PEGAO kupitia mradi wa Ushirikishaji wanawake katika Uongozi
unaotekelezwa na TAMWA Zanzibar, ZAFELA chini ya ufadhili wa ubalozi wa Norway
Tanzania.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI wa Jumuiya ya PEGAO Kisiwani Pemba,
Hafidhi Abdi Said akizungumza na wananchi wa shehia ya Muwambe, katika mkutano
ya uhamasishaji jamii juu ya kuwajengea uwezo wanawake kudai haki zao za
uongozi, kupitia mradi wa Ushirikishaji wanawake katika Uongozi unaotekelezwa
na PEGAO,TAMWA Zanzibar na ZAFELA chini ya ufadhili wa ubalozi wa Norway
Tanzania.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANANCHI wa Shehiya ya Uwandani Wilaya ya Chake
Chake, wakifuatilia kwa makini mkutano wa uhamasishaji jamii juu ya kuwajengea
uwezo wanawake kudai haki zao za uongozi, kupitia mradi wa Ushirikishaji wanawake
katika Uongozi unaotekelezwa na PEGAO,TAMWA Zanzibar na ZAFELA chini ya
ufadhili wa ubalozi wa Norway Tanzania.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment