Habari za Punde

Majumuisho ya ziara ya kamati ya kanuni na sheria ndogo ndogo ya Baraza la Wawakilishi kisiwani Pemba

Watendaji wa wizara ya nchi afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na idara maalum za SMZ kisiwani Pemba wakisikiliza kwa makini ushauri na maelekezo ya kamati ya kanuni na sheria ndogo ndogo mara baada ya katika majumuisho ya ziara ya kamati hiyo katika mabaraza ya miji Wete, Mkoani na Chake chake .
Wajumbe wa kamati ya kanuni na sheria ndogo ndogo ya Baraza la wawakilishi chini ya mwenyekiti wake mhe Mihayo Juma Nhunga wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa wizara ya nchi afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na idara maalum za SMZ kisiwani Pemba mara baada ya kumaliza majumuisho ya ziara ya kamati hiyo katika mabaraza ya miji Wete, Mkoani na Chake chake .

 Mwenyekiti wa kamati ya kanuni na sheria ndogo ndogo ya Baraza la Wawakilishi mhe Mihayo Juma Nhunga akitoa maoni ya kamati  kwa Watendaji wa wizara ya nchi afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na idara maalum za SMZ kisiwani Pemba kuhusu mambo mbali mbali waliyoyabaini katika ziara yao walioifanya katika mabaraza ya mji Mkoani, Wete na Chake chake.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.