Habari za Punde

Ufunguzi wa Maonesho ya Biashara wa Nchi za Afrika Yaliofanyika katika Ukumbi wa ICC Jijini Darban Afrika Kusini.

Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa  akijumuika na Marais wa Nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakikata utepe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Biashara ya  Nchi za Afrika yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ICC Darban Jijini Darban Afrika Kusini.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.