Habari za Punde

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aondoka baada ya kukamilisha Ziara yake hapa nchini

Mhe.Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021 kabla ya kuondoka kurejea nchini Kenya baada ya kukamilisha Ziara ya Kiserikali ya siku moja hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsindikiza mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021 alipokua akiondoka kurejea nchini Kenya baada ya kukamilisha Ziara ya Kiserikali ya siku moja hapa nchini.
Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiagana na baadhi yaViongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021 alipokua akiondoka kurejea nchini Kenya baada ya kukamilisha Ziara ya Kiserikali ya siku moja hapa nchini. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021 alipokua akiondoka kurejea nchini Kenya baada ya kukamilisha Ziara ya Kiserikali ya siku moja hapa nchini.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.