Habari za Punde

Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Stadium  jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Stadium  jijini Zanzibar [Picha na Ikulu] 12/01/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Mhe.Othman Masoud Othman (kulia) Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Acson wakisimama wakati wa kupokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Stadium  jijini Zanzibar [Picha na Ikulu] 12/01/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua    Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kupokea  salamu ya Heshma ya Vikosi hivyo katika    kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Stadium  jijini Zanzibar [Picha na Ikulu] 12/01/2022.

Vikundi mbali mbali vya Maandamano vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2022.

Vikundi mbali mbali vya Maandamano vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2022.

Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.
Kikosi cha Jeshi la Mafunzo  wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa  Tanzania JWTZ wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka  katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.


Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka  katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.
Kikosi cha Jeshi la KIKOSI CHA KUZUIYA MAGENDO KMKM  wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka  katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.
Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU   wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka  katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Stadium Jijini Zanzibar.[Picha Ikulu] 12/01/2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.