Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya Watercom Ndg.Abubakary Ally akitowa maelezo ya ujenzi wa kiwanda cha Maji Safi cha Watercom,baada ya kuweka Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyi imefanyika katika eneo la kiwanda hicho Kijiji cha Kinyikani Mchangamdogo Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Konde Pemba wakiimba wimbo wa ukombozi wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji Safi cha Watercom kinachojengwa katika kijiji cha Kinyikani Mchangamdogo Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWAKILISHI wa Jimbo la Kojani Pemba Mhe. Hassan H.Omar, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la kiwanda cha maji cha Watercom kinachojengwa katika Kijiji cha Kinyikani Mchangamdogo Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI na Wananchi Kisiwani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la kiwanda cha maji cha Watercom kinachojengwa na muwekekezaji katika Kijiji cha Kinyikani Mchangamdogo Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la kiwanda cha maji safi cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bi.Maryam Omar,akitowa matatizo ya maradhi ya Mtoto wake Aisha Ali Mussa (10) baada ya kumaliza hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la kiwanda cha maji katika kijiji cha kinyikani mchangamdogo Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsalimia mtoto Aisha Ali Mussa akiwa na Mama yake Bi.Maryam Omar, baada ya kupata matatizo yanayomsumbua mtoto na (kulia )Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.