RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi Cheti cha shukrani Afisa Mkuu Rasilimali Watu Benki wa Benki ya NMB
Bw.Emmanuel Akonay, kwa kudhamini Michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa mchango
wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana
usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya
Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi Cheti cha shukrani Mwakilishi wa Kampuni ya Azam, kwa kudhamini Michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa mchango
wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana
usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya
Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi Cheti cha shukrani Mdhamani wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi
Mwenyekiti wa Kampuni ya ZAT Bw. Mohammed Raza Daramsi, kwa mchango wake
kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku
13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya Simba
na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi Cheti cha shukrani Mwakilishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa kudhamini Michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa mchango
wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana
usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya
Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi Cheti cha shukrani Mwakilishi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)
kwa Udhamini wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi,kwa mchango wao kufanikisha
michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022,
wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba na Azam Timu ya
Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0
No comments:
Post a Comment