Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembelea na kupata maelezo katika
mabanda mbalimbali ya taasisi za serikali na binafsi zinazojihusisha na ubunifu
na utafiti wakati wa kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa kwa Mwaka 2022 katika
Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembelea na kupata maelezo katika
mabanda mbalimbali ya taasisi za serikali na binafsi zinazojihusisha na ubunifu
na utafiti wakati wa kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa kwa Mwaka 2022 katika
Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi hundi ya shilingi milioni
tano mshindi wa ubunifu Arqhm Isihaka Adam kutoka Shule ya Msingi Mikumi Mpya
Morogoro aliyebuni kengele ya nyumbani
inayotumia sauti na mwanga kwaajili ya watu wote ikiwemo wenye mahitaji maalum wakati wa kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa
kwa Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei 2022. Kushoto ni Waziri Mkuu Mheshimiwa
Kassim Majaliwa, kulia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf
Mkenda.
No comments:
Post a Comment