RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la
Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A”
Unguja leo 19-7-2022, akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kushoto ) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali
Mohammed, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisoma
maelezo ya Jiwe la Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, baada ya kukizindua,na (kushoto ) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali
Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud. wakati
wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo
cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022,
na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mama Mariam Mwinyi na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum
za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub
Mohammed Mahmoud, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja
MUONEKANO wa Majengo ya Kituo cha Wajasiriama
Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja kilichofunguliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati
wa ziara yake Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja kutembelea Miradi ya Maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la
Tumbatu Mhe Haji Omar Kheri.(hayupo pichani ) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa
Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iliyoaza
leo 19-7-2022,katika Wilaya na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed na (kushoto kwa
Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wajasiriamali,
wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali wa bidhaa mbalimbali Pale
Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea
Miradi ya Maendelo ya Wilaya hiyo.
WANANCHI na Wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini
“A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa Ufunguzi wa
Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa
katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022

MWANANCHI wa Wilaya ya Kaskazini”A”Unguja akimshanglia na kupiga makofi wakati wa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzungumza na Wajasiriamali na Wananchi
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiogele leo
19-7-2022, Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi na Wajasiriamali,
baada ya kumaliza kuzungumza na kukifungua Kituo cha Wajasiriamali Pale
Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, akiwa katika ziara yake
Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja
No comments:
Post a Comment