Habari za Punde

Wanafunzi Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia waendelea na Mitihani yao

Wanafunzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakiwa katika Vyumba vya Mitihani  ikiwa ni wiki ya pili ya Mitihani inayoendelea katika Taasisi hiyo, huko Mbweni Zanzibar.

Picha na Maryam Kidiko – KIST.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab akitembelea na kukaguwa Madarasa mbali mbali ya Mitihani ikiwa ni wiki ya pili ya mitihani  inayoendelea katika Taasisi hiyo, huko Mbweni  Zanzibar.

Picha na Issa Mzee – KIST.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.