Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Iramba, baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa kituo cha Afya cha Mtoa, kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Muonekano wa mradi wa kituo cha Afya cha Mtoa, kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida
kuu Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji wakati alipokagua mradi wa maji Misigiri, uliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia tanki la kuhifadhia maji wakati alipokagua mradi wa maji Misigiri, uliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida. Julai 16, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment