Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk,Hussein Mwinyi Ameongoza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo."Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako"

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.