Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment