Habari za Punde

Rais wa Mstafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jjakaya Mrisho Kikwete Awasilisha Salamu za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni Jijini Kampala

Pembenzoni mwa Mkutano wa Uongozi wa Afrika wa nane jijini Kampala Uganda leo, Mheshimiwa  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kama mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. 


Rais Museveni alimshukuru Dkt Kikwete kwa kumtembelea na kumuomba amfikishie salamu zake kwa Mheshimiwa Rais Samia na watu wa Tanzania.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.