Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 - 2026, bungeni jijini Dodoma.
Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 - 2026, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 - 2026, bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment