Habari za Punde

Dk Shein akutana na ujumbe wa the Millenium Challenge Corporation ( MCC)

 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Utumishi wa MCC Bw.Steve Kaufmann,akiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais jana.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkuu wa Utumishi wa MCC Bw.Steve Kaufmann,kiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo na Rais jana.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.