Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Tasaf Unguja Shaaban Ali Abdulmalik,wakati alipofungua Soko la Samaki la Mazizini Pwani, ikiwa ni mradi wa Tasaf kupitia Macemp,alkiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Rans CO LTD,inayoshughulikia ujenzi Nassor Salim
Said,alipotembelea Kilimo cha Mboga mboga kinacholimwa na kampuni hiyo huko Kombeni Wilaya ya Magharibi alipokuwa katikaziara ya Mkoa wa Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Abass Jumbe Makame,wa Kwarara Vigaeni alipofika kuangalia kiwanda cha kufywatua
matofali ya udongo,alipokuwa katika ziara ya Wialaya ya magharibi Unguja jana
matofali ya udongo,alipokuwa katika ziara ya Wialaya ya magharibi Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Unguja Mussa Hassan Takrima, alipotembelea
uharibifu wa mazingira ya uchimbwaji wa mchanga katika laini ya nguzo kuu za Umeme huko Kwarara alipofanya ziara ya Wilaya hiyo jana.
[Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment