MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, April 21, 2016

Mzee wa Mkanyageni akihuduma wateja wake madafu

BIASHARA ya madafu imekuwa maarufu visiwani, ingawa aina ya minazi inayoangushwa madafu sio ile maalumu jambo ambalo limetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei ya nazi ingawa pia sababu nyengine ni kukatwa, pichani mzee wa Mkanyageni akiwahudumia wateja wake , (Picha na Haji Nassor, Pemba).