WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,
Mohammed Aboud Mohammed akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha IT idara
ya Uhamiaji Pemba, juu mfumo mzima wa upatikanaji wa Paipoti za Kieletroniki,
wakati wa uzinduzi wa mtambo wa Paspoti hizo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akishuhudia zoezi la upigaji wa picha kwa
mmmoja ya mwananchi aliyefika katika Ofisi za uhamiaji Chake Chake kuomba
Pasipoti za Kieletroniki, wakati wa uzinduzi wa mtambo wa Paspoti hizo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akishuhudia zoezi la utiaji watu wa kuomba hati
ya kusafiria ya kieletroniki, wakati wa uzinduzi wa mtambo wa Paspoti hizo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa kitengo cha
IT katika idara ya uhamiaji Chake Chake, wakati alipofika katika sehemu ya
kuskani taarifa mbali mbali za mwananchi aliyeomba hati hiyo, wakati wa
uzinduzi wa mtambo wa Paspoti hizo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAAFISA wa Idara ya Uhamiaji Kisiwani pemba,
wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mtambo wa Paspoti za Kieletroniki, mkoa wa
Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
BAADHI ya wananchi waliokabidhia hati zao za
kusafiri za kieletoniki, zilizotolewa na idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini
Pemba, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mtambo wa Paspoti za kieletroniki.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WATENDAJI mbali mbali wa Serikali ya SMZ na SMT,
wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa Mtambo wa Paspoti za Kieletroniki kwa mkoa
wa kusini Pemba, zoezi lililofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KAMANDA wa idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Pemba,
Abdi Bulishi Juma akitoa taarifa juu ya Uwepo wa Mtambo wa Paspoti za
Kieletroniki mkoa wa kusini Pemba, wakati wahafla ya uzinduzi wa mtambo huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KAMISHNA wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar Johari
Massoud Sururu, akizungumzia juu ya uwepo wa mtambo wa Paspoti za Kieletroniki,
mkoa wa kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla,
akionyesha moja ya Paspoti zake alizokabidhiwa za kieletroniki, mara baada ya
Uzinduzi wa Mtambo wa Paspoti hizo Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed, akimkabidhi paspoti ya kieletroniki Mkuu wa
Wilaya ya mkoani Issa Juma Ali, wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mtambo wa
Paspoti za Kieletroniki Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed, akimkabidhi paspoti ya kieletroniki Mwalimu na
afisa huduma za wanafunzi kutoka Idara ya elimu maandalizi msiki Mkoa wa Kusini
Pemba, Maisuni Suleiman Mohamed wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mtambo wa
Paspoti za Kieletroniki Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment