WATENDAJI wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF), wakipata futari maalumu waliyoandaa kwa ajili ya wazee waliopo katika
nyumba ya Wazee Limbani Wete. SULEIMAN, PEMBA)
MJUMBE wa Bodi ya ZSSF Zanzibar Seif Shaban Mwinyi,
akipata futari maalumu waliowaandalia wazee waliopo katika nyumba ya Wazee
Limbani Wete.
WAWAKILISHI wa Maafisa wadhamini Kisiwani Pemba,
wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF), kwa ajili ya wazee waliopo katika nyumba ya Wazee Limbani Wete.
MKURUGENZI mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) Sabra Issa Machano, akipata futari maalumu waliowaandalia wazee
wa wanaolelewa katika nyumba ya Wazee Limbani Wete.
WATENDAJI wa mfuko wa Hifadhi wa Jamii Zanzibar (ZSSF) wakipata futari maalumu, walioandaa kwa ajili ya Wezee wanaoishi katika nyumba ya Wazee Limbani Wete.
WAZEE wanaoishi katika Nyumba ya Wazee Limbani Wete,
wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) na kufanyika Limbani Wete.
MJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) Seif Shaban Mwinyi, amkabidhi friji la wazee waliopo katika nyumba ya
Wazee Limbani, Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii Pemba Abduu Salum Mohamed
lililotolewa na ZSSF.
MKURUGENZI mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) Sabra Issa Machano, akimkabidhi zawadi mmoja wa wazee wanaoishi
katika nyumba ya Wazee Limbani Wete.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment