Habari za Punde

Utalijuaje kama jipya na sio mtumba?


Lazima ulibakishe na label ati 

Pichani ni baadhi ya vijana walionaswa na kamera za Zanzinews wakiwa kwenye viwanja vya sikukuu Mnazimmoja hivi karibuni huku wakiwa wamevaa nguo zao mpya zikiwa na label kuthibitisha kwamba si mtumba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.