Na,Mwandishi Wetu.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC
inatarajia kuweka wazi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Vituo vyote vilivyotumika katika uboreshaji wa Daftari
la kudumula Wapiga Kura mwaka 2019 na 2020.
Akizungumza kupitia kipindi
cha Redio ya CHUCHU FM Afisa kutoka Idara ya Elimu ya Mpiga Kura Bi.Salma Said Mohammed alisema zoezi hilo litafanyika kwa muda wa siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20/6/2020
ambapo vituo vyote vitafunguliwa saa mbili kamili asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili (12)
jioni kwa siku zote nne za zoezi hilo.
Afisa huyo alisema
NEC inaweka wazi Daftari hilo kwa lengo la kutoa fursa kwa Wapiga Kura
kuweza kuhakiki taarifa zao na kufanya marekebisho ya taarifa ikiwa taarifa hizo zimekosewa.
Bi.Salama alisema kuwa Mpiga
Kura anaweza kwenda kwenye kituo kilichopangwa na Tume au
anaweza kutumia huduma ya ujumbe mfupi kupitia mitandao yote ya simu za mkononi kwa kupiga namba
*152*00# au kupiga moja kwa moja kituo cha huduma kwa mpiga kura (call center)
kupitia na mba 0800112100 na kufuata maelekezo baada ya kupiga namba hizo.
Aidha,
Bi Salama aliongeza kusema kuwa mpiga Kura
anaweza kuhakiki taarifa zake kupitia tovuti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ni www.nec.go.tz na kubonyeza sehemu ya kuhakiki na kufuata maelekezo.
Akifafanuamadakupitiakipindihicho
cha RedioAfisakutokaIdarayaHabariyaTumehiyo MOSHI MAKUKA alielezakuwaWapiga Kura
woteambaowalioandikishwakatikaDaftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015
nawapigakurawaliondikishwawakatiwauboreshajiwaDaftari la Kudumuawamuya kwanza
naawamuya pili kwamwaka 2019 na 2020ambaobadohawajahakikitaarifazaowatahusikakatikazoezihilo.
Bw.
MakukaalifafanuakuwaWapiga Kura watakaohakikitaarifazaokwenyeDaftari la
awalinakuonapichazaohazipowatatakiwakwendakatikaOfisizaHalmashauriiliwapigwepichanyenginenakupewakadi.
AfisaMakukaaliongezakusemakuwaMpiga
Kura ambayeanatakakuwekapingamizidhidiyaMpigakuraambayehanasifazaKuwemokatikaDaftari
la Kudumu la Wapiga Kura
ataendakwenyekituokilichopangwakatikaHalmashaurihusikailiawezekuwekapingamizikwakujazafomumaalum
3B yakuwekapingamizihizo.
AlisemakuwakatikazoezihilohakutakuwanauandikishajiwaWapiga
Kura WapyanahakutakuwanaUboreshajiwaTaarifazaWapiga Kura
waliohamamaeneoyaoyaKiuchaguzi, waliopotezakadi au kadizaokuharibika.
Hatahivyo,
TumeimezingatiatahadharizotezilizoelekezwanawataalamuwaAfyapamojanaViongoziwaSerikalikatikaKujikinganamaambukiziyaVirusivya
CORONA katikavituovyotevilivyopangwakuwekawaziDaftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Zoezi
la uwekajiwaziwaDaftari la Kuidumu la Wapiga Kura
linafanyikaikiwanihatuamojawapoyamatayarishoyaUchaguziMkuuwamwaka 2020
No comments:
Post a Comment