Habari za Punde

MAJALIWA AHUDHURIA FAINALI ZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QURAN TUKUFU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar  Zubeir  wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano  ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Abubakar Kunenge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano  ya Kimataifa ya Quran Tukufu, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifuatilia  fainali za Mashindano ya Kimataifa   ya Quran Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam,

Mei 2, 2021. 
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.