Habari za Punde

Furaha ya Mabondia Baada ya Kassim Selemani Mbundwike na Yusuf Changalawe Kupokea Medali Zao za Shaba za Michezo ya Jumuiya ya Madola Birmingham.

Ni furaha tupu wakati bondia Kassim Selemani Mbundwike (wa tano kushoto) Yusuf Lucasi Changalawe (wa tano kulia)  walipopokea medali zao walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza. Pichani ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Gullam Abdullah Rashid (wa nne kulia), Katibu Mkuu wa TOC Filbert Bayi (wa tatu kulia), Makamu wa Rais wa TOC na Mkuu wa Msafara wa Team Tanzania huko Birmingham Henry Benny Tandau, Naibu Katibu Mkuu na Meneja wa Timu Suleiman Jabir Mahmoud, Matron wa Timu Irene Jackson Mwasanga (kulia), Kocha Timothy Kingu na Afisa wa Ubalozi (kushoto) na bondia Alex Michael Isendi (wa pili kulia).
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Balozi wa Tanzania Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe wakiwa na viongozi wa juu wa TOC siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.

Makamu wa Rais wa TOC na Kiongozi wa Msafara wa Team Tanzania Henry Benny Tandau (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa TOC na Meneja wa Team Tanzania Suleiman Jabir Mahmoud wakiwa na Kocha wa Timu ya Taifa ya Ndondi Timothy Kingu (wa tatu kulia) wakiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (wa pili nkushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe ()wa tatu kushoto) pamoja na Alex Michael Isendi  (wa pili kushoto) siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.

Mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe wakiwa na wasaidizi maalumu waliopangiwa kuwa na  Timu ya Tanzania siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ndondi Timothy Kingu (kulia) akiwa na mabondia wake Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe pamoja na Alex Michael Isendi  (wa pili kushoto) siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Gulam Abdullah Rashid akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Picha na Michuzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.