WANANCHI NDIO WENYE KUAMUA KUHUSU KATIBA - SHIVJI
Wazanzibari watakiwa kutodharau mchakato Na Juma Khamis WAKATI asasi za kiraia zilizopo Zanzibar nazo zikiungana na za Tanzania Bara katik...
Wazanzibari watakiwa kutodharau mchakato Na Juma Khamis WAKATI asasi za kiraia zilizopo Zanzibar nazo zikiungana na za Tanzania Bara katik...
Na Madina Issa WAFANYABIASHARA ya chakula katika eneo la Malindi wametakiwa wasitishe mara moja utoaji wa huduma katika eneo hilo na kutafu...
Na Aboud Mahmoud SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,imeombwa kuwaangalia kwa jicho la huruma wastaafu mbali mbali ambao wametumi...
BAADHI ya Vijana waliomaliza skuli kidatu cha Nne hawakubahatika kuendelea kidatu cha Sita kutokana na kutofaulu masomo yao kuwa na maksi (...
Mashabiki, wachezaji wachapana, kanuni zakiukwa Na Mwajuma Juma MICHEZO miwili ya ligi daraja la pili Wilaya ya Mjini katika viwanja viwil...
Na Juma Khamis ZAWADI ya baiskeli katika shindano 'Hamis Ma-SMS' linalochezeshwa na kampuninya simu Zantel, imekwenda kwa Waziri wa...
Na Saada Mamboleo, MCC MBUNGE na Mwakilishi wa Jimbo la Dole Syllvester Mabumba na Shawana Bukheti Hassan, wamezipa msukumo timu 22 za sok...
Na Ismail Mwinyi TIMU ya Cossovo, imefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano ya ‘Chombo Cup’, kwa kuichapa Love Bite magoli 2-1, katika m...
Taarifa nilizozipata timu yetu ya Ocean View imelala kwa goli 3-0 na A S Vita ya Wakongo na hivyo kuaga mashindano kwa jumla ya 4-1 baada ya...
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizinduwa Kisanduku cha Wanavikundi cha Kufuli Tatu, ak...
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad akimkabidhi Kikombe cha Ubingwa wa Netiboli timu ya Habari X. Bakari...
RAMANI ya maegesho na Bustani katika eneo la Darajani wakioneshwa wananchi likiwa limebandikwa eneo hilo ili kuonekana na Wananchi kama li...
Na Rajab Mkasaba, Ikulu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi kuziimarisha maskani za C...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,akizungumza na wenyeviti na makati...
WAWAKILISHI wa Zanzibar kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika klabu ya Zanzibar Ocean View, leo wanajitupa katika uwanja wa Martire, kumenya...
Na Salum Vuai, Maelezo CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA), kimemteua Ayoub Mohammed kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania ya umri wa ...
Na Salum Vuai, Maelezo BONANZA la pili la michezo linalohusisha wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari hapa Zanzibar, linafanyika asub...
By The Citizen Reporter Dar es Salaam. The World Bank (WB) on Thursday approved an International Development Association (IDA) credit of $3...
Salum Vuai, Maelezo KATIKA nchi zilizoendelea na zile zinazopiga hatua kwenda mbele, utaratibu wa kuanzisha miji mipya ni jambo linalopewa ...
KUKAGUA wagonjwa ni Sunna nzuri ambayo imehimizwa na Bwana Mtume kuwa miongoni mwa mambo sita ambayo Muislamu yanamuwajibikia.
Awataka wakulima kuwa wastahamilivu Na Mwantanga Ame HEKTA 50 za mpunga zimeharibika baada ya kukumbwa na kiangazi katika Mkoa wa Kaskazi...
Na Mwanajuma Abdi ZAIDI ya dola za Marekani milioni tisa sawa na shilingi bilioni 13.391 zitatumika katika mradi wa kuimarisha na kuendelez...
Na Juma Mohammed, Maelezo SHIRIKA la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa(FAO) limeridhishwa na kasi ya maendeleo ya kilimo visiwani Zanzi...
MWANANCHI akisoma baadhi ya Vicha vya habari vya Magazeti mbalimbali katika moja ya kituo cha kuuzia magazeti kisiwandui, ikiwa ni moja ya...
MAFUNDI wa kampuni ya Coast Coulor Center Ltd wakiweka alama maalum katika kituo cha Daladala Darajani ili kutowa nafasi kwa maegesho ya ...
Na Mwanajuma Abdi WANANCHI wa vijiji vya Paje, Bwejuu, Muyuni na Makunduchi wamesema kuzagaa kwa baa mitaani kunachangia ongezeko la watum...
Familia 10 Mikunguni zakumbwa na maradhi Na Mwandishi wetu WATU kutoka zaidi ya familia 10 katika Shehia ya Mikunguni, wamekumbwa na maradh...
Juma Khamis KIASI cha walimu 3,000 wa maandalizi Unguja na Pemba watapatiwa mafunzo ya kujifunza kwa njia ya redio na video kupitia mradi ...
Na Mwantanga Ame UONGOZI wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar, umepokea msaada wa fulana maalumu kutoka Benki ya Watu wa Zanzibar kw...
Latumiwa kumkacha mjumbe wake safari ya Z’bar Ocean Na Salum Vuai, Maelezo KATIKA hali isiyotarajiwa, timu ya Zanzibar Ocean View iliondok...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa N...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Unguja Maalim Rashid Ali Juma alipotembelewa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal Hospitali ya Aga Ghan amba...
Na Haji Chapa, MUM KATIKA kuendeleza mahusiano mazuri ya kidiplomasia serikali ya Jamuhuri ya watu wa Iran, ina mpango wa kujenga chuo cha ...
Na Khamisuu Abdallah NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Abdulla Mzee Abdulla, amesema kutokana na kufaulu kwa ...
Mwengine jela miaka miwili shambulio la aibu Na Ali Chwaya Pemba POLISI Mkoa wa Kaskazini Pemba, imemfikisha Mahakamani Mhasibu wake, Hama...
Na Raya Hamad, OMKR OFISA Utetezi kutoka Idara ya Watu wenye Ulemavu, Idrissa Khamis Juma amesema jamii inayo haki ya kuelewa na kufahamu ...
Barabara ya Darajani ndio imekuwa barabara kuu na kila magari yakiongezeka imekuwa ikisababibisha usumbufu wa foleni kwa kutumika kwa magari...
Balozi Seif azitaka Kilimo, Fedha kutafuta ufumbuzi haraka Na Mwantanga Ame, Pemba TATIZO la uhaba wa chakula limejitokeza tena katika wil...
Na Halima Abdalla KIASI ya wagonjwa wa akili 171 wamelazwa katika Hospitali ya Ugonjwa wa akili Kidongo Chekundu kuanzia Oktoba hadi Disemb...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania,Mohsen Movahhedi Gh...
Na Aziz Simai Pemba WATAALAMU wa Kilimo na Mifugo, Kisiwani Pemba, wametakiwa kuwa karibu na Wadau wao kwa kuongeza ushirikiano kwa kubadil...
Awapa pole wagonjwa waliolazwa hospitali Asifu JWTZ kwa kurejesha usalama Amfariji Mkurugenzi wa Manispaa Zanzibar Na Rajab Mkasaba,...
Na Fatma Kassim, Maelezo WAZIRI wa Afya, Juma Duni Haji amesema Wizara yake itaendelea kuimarisha huduma za afya ikiwemo huduma za damu Sal...
Na Abdi Suleiman, Pemba WAANDISHI wa Habari Kisiwani Pemba wametakiwa kuandika habari za uchunguzi zinazohusiana na uzalilishaji wa mwanamk...
Vifaa vilivyonunuliwa kutoka Marekani - Washington State na moja ya kampuni za usafiri kwa Dola laki nne kwa zote mbili ambapo vitakapowasi...
MISS Afrika Australia Zaituni Hunt, akizinduwa NGO yake na kuzungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malind...
Ni tukio linalohusishwa na biashara Darajani Watu wane wapigwa mapanga Kilimahewa Na Halima Abdalla MKURUGENZI wa Baraza la Manispaa ya Z...
Na Mwanajuma Abdi SHIRIKA la Posta, limesema wanafunzi kutokujua kutumia huduma ya mtandao wa ‘Internet’ kunasababisha msongomano mkubwa wa...
Na Halima Abdalla AJALI 685 za barabarani zimetokea Zanzibar na watu 112 kupoteza maisha, kutokana na ajali hizo kwa mwaka 2010. Hayo yame...
Na Mwantanga Ame SERIKALI imesema itatafuta timu ya wataalamu kutoka nje na ndani ya nchi ili kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na miripu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed shein,akisalimiana na Viongozi katika Hospitali ya Amana Jijini Dar es...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Tanzania Davis Mwamu...
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete alipotembelea hospitali ya manispaa ya wilaya ya Temeke kuwapa pole majeruhi wa ma...
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni General Abrahamani Shimbo, akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...