KWAHERI 2010 KARIBU 2011
Assalaamu Alaykum Waungwana Kwa niaba ya blog yako ya Jikumbuke tunawashukuru wote waliobahatika kututembelea katika blog yetu ambayo kwa s...
Assalaamu Alaykum Waungwana Kwa niaba ya blog yako ya Jikumbuke tunawashukuru wote waliobahatika kututembelea katika blog yetu ambayo kwa s...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK Ali Mohamed Shein akitoa salamu za mwaka mpya wa 2011 kwa wananchi wa Zanzibar leo ...
Hawa vijana katika mji mmoja nchini Uingereza wanajidai wanasali wakiwa na Imam wa theluji waliemtengeneza wao wenyewe na kisha kumfuata wa...
Rais wa Zanzibar wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dr....
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) akitoa maelekezo kuhusu masuala ya teknolojia ya mawasiliano katika mtandao kwa b...
Mohammed Mhina wa Polisi, Zanzibar KITUO cha Polisi cha Mkokotoni katika Wilaya ya Kaskazini A mjini Unguja, kimeteketea kwa moto uliotokan...
Na Ameir Khalid HATIMAYE wananchi wa Mtende, wameliwasilisha rasmi kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini sakata la kuvamiwa ardhi ya kijiji hicho k...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 2...
Asema hainufaishi nchi, yaneemesha wajanja Na Mwantanga Ame WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo, Omar Yussu...
Na Ali Mohamed, Maelezo Benki ya Dunia (WB) imeahidi kufanaya kazi kwa karibu zaidi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuwawezesha...
Na Mwantanga Ame WAZIRI, wa Mawasiliano na Miundombinu, Hamad Massoud, amezipiga marufuku meli zote zinazofanya safari zake katika visiwa v...
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa...
Na Mwanajuma Abdi SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema mradi wa upangaji miji (master planning) wa mjini na vitongoji vyake utakaogharimu...
Na Abdulla Ali WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais, Mohammed Aboud Mohammed, amesema kuwa Zanzibar itaanzisha Shirika lake ambalo l...
Na Mwantanga Ame MAMLAKA ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA), imefuta miradi 250 ya uwekezaji baada ya kushindwa kutimiza masharti ...
Na Mwanajuma Abdi MAKOSA 826 ya jinai, usalama wa barabarani, ajali na mengine mabali yaliasilishwa mahakamani kutolewa maamuzi ambapo 127...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Rais, (Muungano...
Baadhi ya Maofisa wa idara za ofisi ya makamo wa kwanza wa Rais,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi,Dk Ali...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Abdulhamid Ameir , kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Z...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akiendesha kikao cha Wizara za Kilimo na Mali asili ikiwa ni mwe...
SCHOLARSHIP PROGRAMME FOR MUSLIM COMMUNITIES IN NON MEMBER COUNTRIES SPMC Announncement for Academic Year 1432H /2011-2012 The Islamic Dev...
Picha za baadhi ya vifaa tunavyotarajia kuvituma mwezi Januari 2011 na pia kuonesha makusudio suala hili lipo kwa ajili ya kutoa changam...
Umoja wa Kiislamu, Uchumi, Elimu na Maendeleo (UKUEM) unachukua fursa hii rasmi ya kutoa mwaliko wa Public Lecture itakayofanyika katika chu...
The Faculty of History, Arts and Oriental Studies/Institute of African Studies at the University of Leipzig offers as from 1 May 2011 the fo...
Dk Shein akikabidhiwa zawado ya mchoro wa Ikulu ya Zanzibar na mmoja wa akinamama. Rais wa Zanzibar a Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ...
Na Ali Mohamed, Maelezo UINGEREZA imeelezea kuridhishwa na hali ya maelewano, mashirikiano na maendeleo ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzi...
Na Ameir Khalid SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Serikali ya Mapinguzi ya Zanzibar, katika kuendeleza maendeleo yaliyopo nc...
Na Suleiman Rashid Omar Pemba WAZIRI wa Nchi Afisi ya Makamu wa pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed amewataka wananchi wa Vitongoji, kisiw...
Na Sharifa Maulid SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF), limesema litaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya...
JENGO Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar linaloanza kuaza ujenzi wake rasmin mwakani mwezi wa jan...
MWENYEKITI wa Azam Said Mohammed akimtambulisha Kocha Stewart Hall kwa waandishi hivi leo. KLABU ya Azam imeingia mkataba wa miezi 18 na ko...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein na Mama Mwem...
Na Ally Saleh, Naandika makala hii kwa hadhari ya kwamba pengine wakati makala hii inatokana kile ambacho ninakusudia kukiandikia kitakuwa ...
Na Mwajuma Juma, Zanzibar KAMPUNI ya Future Century kwa kushirikiana na Kampuni ya Vannedrick zote za Dar es Salaam, zinatarajia kudhamini ...
Leo ni tarehe 09 Muharram 1432 15/12/2010 ni Taasua na kesho ni tarehe 10 Muharram 1432 16/12/2010 ni Aashuuraa. Ni Sunnah kufunga katika ...
TIMU za Taifa za Togo, Ivory Coast zimealikwa mjini Zanzibar kushiriki mashindano maalumu yatakayohusisha nchi nne. Akizungumza kwa simu jan...
Assalaamu 'Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Dr. Bilal Philips (Dr. Abu Ameenah Bilal Philips) mzaliwa wa Jamaica na raia wa Canada...
Baadhi ya Viongozi wa CCM wilaya ya Magharibi wakimsikiliza DK Shein katika ziara yake ya kuwashukuru Dk Shein akisalimia moja katika bur...
Na Rajab Mkasaba MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewasisitiza v...
Asema Zanzibar imegeuka chuo cha demokrasia • Ashukuru na kuwataka WanaCCM kuimarisha chama • Awatoa hofu kuhusu Serikali ya Umoja w...
Na Mwantanga Ame SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeshauriwa kuzifuta sheria zinazoonekana kuleta ubaguzi kwenye nyaja ya uchumi, ili ...
Na Mwantanga Ame BAADA ya Kamati Kuu CCM, kuyarejesha majina mawili ya wanaowania nafasi ya Umeya wa Mji wa Zanzibar, ngoma nzito kwa Me...
Na Sharifa Maulid SERIKALI inatambua uwepo wa wafanyakazi wa majumbani ndio maana imetoa toleo maalum linalozingatia kiwango cha kima cha...
Wengi wamzika, waeleza walivyoguswa MAMIA ya wananchi wa Zanzibar na vitongoji vyake wakiwemo wasanii wakongwe na chipukizi, walijitokez...
Na Salum Vuai KAMBI ya wasanii wa fani za taarab na maigizo nchini, imegubikwa na msiba kwa kuondokewa na msanii gwiji na mkongwe Bakari ...
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakisoma duwa baada ya kuusalia mwili wa marehemu Bakari Abeid ulisaliwa katika Msikiti Lutta Kiembesamaki ...